Kamanda Hamis amesema taarifa hizo sio za kweli “tukio la mtu kuuawa sio tukio dogo, mtu kama huyu alikuwa Mbunge na amechaguliwa na wananchi halafu atauawa tu kienyeji na taarifa zisitufikie!, taarifa hizo kwetu hazipo, taarifa za kumtakia mwenzenu kifo sio sawasawa, sheria za mitandao ziwe kali zaidi hata mtu akikosea kidogo akamatwe,” – Kamanda Hamis Issah
0 Comments