HDIF YAWAWEZESHA WAKAZI WA MAGANZO KISHAPU KUPATA MAJI SAFI

Mtaalamu wa maji wa Shirika la ICS....linalotekeleza mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa kutumia teknolojia ya malipo kabla unaofadhiliwa na HDIF akielezea jinsi teknolojia hiyo inavyofanya kazi.Kushoto ni kiongozi msaidizi wa HDIF Be.Joseph Manirakiza 
Matanki ya maji yaliyojengwa na ICS kwa ufadhili wa HDIF katika kijiji cha Maganzo yanayosambazwa katika vibanda vya maji 25 vinavyotumia teknolojia ya walipo kabla. 
Wananchi we Maganzo kata ya Kishapu Shinyanga wakielezea muhimu wa mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa kutumia teknolojia ya malipo kabla unaofadhiliwa na HDIF .

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.