ANGALIA VIDEO YA NYUMBA ANAYOISHI DK LOUIS... MAJIRANI WAFUNGUKA MAZITO, WASEMA HATA HELA YA KULA KWAKE NI SHIDA

Ikiwa ni siku chache baada ya kutokea habari za kufurahisha na kusisimua za Dk. Luis Shika kununua nyumba za Lugumi kwa mabilioni ya fedha,ukweli kuhusu maisha ya huyu tajiri yameanikwa hadharani.

Majirani wamefunguka na kusema mambo mengi kuhusu maisha ya mzee huyo ambapo imesemekana kuwa mzee huyu anaishi katika nhyumba za kupanga na anaishi maisha ya shida sana kiasi kwamba hata hela ya kula ni shida.

Masengwa Blog ikishirikiana na Globa tv online imekuletea vieo ya mahalai anapoishi mzee huyo na majirani wakifunguka mazito.

BOFYA HAPA CHINI UJIONEE ANAPOISHI NA WALICHOFUNGUKA MAJIRANI

Post a Comment

0 Comments