SAMATTA ATOA YA MOYONI KWA HUYU MCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED

Champion Boy Mbwana Ally Samatta anayecheza katika klabu ya Genk huko Ubelgiji amemsifia mlinzi wa Manchester United Ashley Young kwa Uhodari wake wa Kupiga Krosi bila kuwa na Mambo mengi.
"Nnachopendea Ashley young hanaga makeke kwenye kumwaga mindiz akikaa sawa tu kaileta alaf mindiz yake ya university "