HII HAPA RATIBA YA UEFA LEO JUMATANO BARANI ULAYA

Michuano ya klabu bingwa barani ulaya (UEFA) kwa msimu wa 2017/2018, itaendelea tena leo Jumatano kwa jumla ya michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali.

Baada ya hapo jana kuwepo Michezo ya Klabu Bingwa Ulaya na tukishuhudia Matokeo Mazuri kwa Klabu Kubwa leo hii Ligi hiyo itaendelea tena Ratiba Kamili iko hapa chini kama nilivyokuwekea

Champions League - Group E September 13
21:45 Liverpool vs Sevilla
21:45 Maribor vs Spartak Moscow

Champions League - Group F September 13
21:45 Feyenoord vs Manchester City
21:45 Shakhtar Donetsk vs SSC Napoli

Champions League - Group G September 13
21:45 FC Porto vs Besiktas
21:45 RasenBallsport Leipzig vs Monaco

Champions League - Group H September 13
21:45 Real Madrid vs APOEL Nicosia
21:45 Tottenham Hotspur vs Borussia Dortmund