KIMENUKA!!! SIMBA NA AZAM WATUPIANA VIJEMBE VIKALI KUHUSU MCHEZO WAO WA 9.9.2017

Ratiba Mpya ambayo imetolewa leoikiwa na Baadhi ya Marekebisho imekuja na Mabadiliko ya viwanja Pia, Ratiba ya awali ilionyesha mechi kati ya Azam na Simba Ingechezwa uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam.

Lakini Ratiba Mpya Inaonyesha kuwa mechi Itachezwa Azam Complex 9.9.2017 na Muda wa Mechi hiyo Itakuwa saa moja Jioni (1900 Hours)