HAYA HAPA MATOKEO YA TAIFA STARS NA BOTSWANA

Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Taifa Stars (Tanzania) VS Botswana September 2 , 201

Timu zinaingia uwanjani

Nyimbo za Taifa zinaimbwa

Mpira umeanza dakika ya 2 Tanzania 0 - 0 Botswana

5'  Assist ya Mzamiru inafanyiwa kazi vizuri na Simon Msuva na Kuipatia Tanzania goli. Tanzania 1 - 0 Botswana

15' Tanzania 1 - 0 Botswana

40' Tanzania 1 - 0 Botswana

HALF TIME

Tanzania 1 - 0 Botswana

Ball Possession

Tanzania 48% - 52% Botswana






KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

47' Tanzania 1 - 0 Botswana

50' Botswana wanakosa goli la wazi baada ya walinzi wa Stars kuzembea kuondosha mpira langoni.<br>

58' Anatoka Mzamiru amaingia Raphael Alpha Daudi

62' Simon Msuva kwa Mara nyingine anafunga bao kwa assist ya Kichuya

63' Tanzania 2 - 0 Botswana

Soma Habari za