USAJILI TANZANIA 27.07.2017: LIPULI WASHUSHA WANNE WAPYA

Timu ya Lipuli imeshusha Vifaa vinne Leo kwaajili ya Usajili, Hii inakuja Siku moja mara baada ya Kupokea Kichapo kikali kutoka kwa Azam 4 kwa 0 Maarufu 4G.

Wachezaji ambao wamethibitishwa kupitia Mtandao wao wa Twitter Ni
1.Asante Kwasi

2.Ngalema Paul 
3.Musa Mohamed 
4.Hamadi Manzi