AJINYONGA BAADA YA KUGUNDUA KUWA MKE WAKE ANASHIRIKI MAPENZI YA NDOA YA JINSIA MOJA

Mwanaume Mmoja Nchi Kenya amejinyonga hadi kufariki kutokana na kugundua mke wake anashiriki mapenzi ya Jinsia moja (Usagaji).

inadaiwa kuwa Mwanamke huyo alitoroka nyumbani kwake kwenda kwa Mwanamke anayeshiriki naye mapenzi hayo ya Usagaji.