AJIRA 535 ZA WASAIDIZI WA HESABU SERIKALINI

Serikali yatoa kibali cha ajira mpya 535 za wasaidizi wa hesabu katika vituo vya afya kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa.