TEMBO WANNE WAONEKANA CHUO KiKUU DODOMA (UDOM)

Tembo Wanne Wavamia Chuo Kikuu cha UDOM




likuwa  balaa  leo alfajiri katika maeneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.Tembo hao walionekana kulanda landa maeneo ya chuo hicho karibia na benki za chuo , karibia na kitivo cha social,


Watu walifurika chuoni hapo kuwaangalia lakini askari polisi waliwazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.


askari wa TANAPA toka manyoni walifika na kufanikisha kuwatoa tembo hao waliokuwa awamezagaa.