TANZIA: STAR WA KUCH KUCH HOT HAI AFARIKI DUNIA

Kuch kuch hota hai ni moja ya movie kali kutoka Bollywood ambayo imekuwa ikipendwa sana na wafuatiliaji wa filamu za kihindi hasa kutokana na uwepo wa Waigizaji mastaa kamaShah Rukh Khan, Salman Khan, Kajol na wengine.
Bad news iliyonifikia jana May 18, 2017 ni taarifa za kifo cha mmoja wa Waigizaji wa filamu hiyoReema Lagoo ambaye amefariki mapema jana May 18, 2017 akiwa na umri wa miaka 59 ambapo katika filamu ya Kuch kuchi hota haiReema Lagoo aliigiza kama mama wa Kajolakitumia jina la Mrs. Sharma.

Miongoni mwa filamu zilizompatia umaarufu ni pamoja na Kal Ho Naa Ho, Maine Pyar Kiya,Hum Aapke Hain Koun…!, Hum Saath Saath Hain, Jis Desh Mein Gangaa Rehta Hai naVaastav.
Reema Lagoo (kulia) akiwa na Kajol kwenye filamu ya Kuch kuch hota hai
Reema Lagoo (kushoto) akiwa na Shah Rukh Khan kwenye filamu ya Kal Ho Naa Ho

R.I.P Reema Lagoo