
Uongozi wa kituo cha kusaidia na kulea yatima (SIFA GROUP FOUNDATION ) Kwa ushirikiano na kikundi cha wanamaombi (MIDNIGHT PRAYER WARRIORS )Pamoja na MASENGWA BLOG
Unapenda kuomba ushirikiano wako na mchango wako ili kuwasaidia watoto wanaolelewa katika kituo hicho. Mpaka sasa kituo kina watoto zaidi ya hamsini (50) na watoto hawa wana mahitaji yote ya mwilini pamoja na malazi bora, hivyo kwa kujitoa kwako utakuwa umesaidia kuwezesha kuwajali watoto waishio mazingira magumu...Kumbuka Biblia inasema "Heri amkumbukaye mnyonge............."
Waweza kuwasilisha mchango wako au kuwasiliana na mlezi wa watoto hawa kwa namba zifuatazo;
Tigo-Pesa 0652-562347
HUDUMA YA BANK:
JINA LA BANK :BANKI YA AKIBA
JINA LA AKAUNTI : SIFA GROUP FOUNDATION
NAMBA YA AKAUNTI : 10900232
Imeandaliwa na MIDNIGHT PRAYER WARRIORS
0753 410722 /0787185876
Wakishirikiana na MASENGWA BLOG 0753336000/0719353734
MUNGU AWABARIKI NINYI NYOTE MLIO NA MIOYO YA UTAYARI KATIKA JAMBO HILI!


