Mbunge wa Mtama mapema leo hii baada ya Rais John Magufuli kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospita Muhongo kutokana na wizara yake kutowajibika na kashafa ya Makontena ya Mchanga wa Dhahabu.
Rais Magufuli amepokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa Kontena za mchanga wa Dhahabu.
Nape Mnauye amesifu kitendo cha Rais
Magufuli kuwawajibishwa watendaji wa serikali na kumpongeza kwa kitendo hicho

