MBUNGE MAJI MAREFU AOKOA WANANCHI WAKE


Mbunge Prof. Maji marefu aokoa wananchi wa jimbo lake kwenye mafuriko

 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani akijadiliana jambo na baadhi ya wananchi wake.

  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Prof Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa Jimbo lake kwenye mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi ya Mji wa Korogwe na maeneo mengine mengi ya nchi.