MAELFU WAJITOKEZA KUWAAGA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI


Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yalifungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.