Live: RAIS MAGUFULI ANAPOKEA RIPOTI YA MADINI KATIKA MAKONTENA YA MCHANGA

Fuatilia maangazo ya moja kwa moja toka Ikulu ambapo Mhe. Rais Magufuli anapokea Taarifa ya KAMATI Maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini (Makinikia) yaliyopo katika maeneo mbalimbali Nchini.

BOFYA HAPA CHINI KUANGALIA LIVE!