LIVE: FUATILIA KINACHOJIRI BUNGENI LEO IJUMAA MAY 12, 2017


BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha Bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Asubuhi hii ni maswali kwa Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Vijana, Ajira na Kazi.
Fuatilia LIVE kwa kubonyeza hapa chini