KIJANA WA RWANDA ATAJIRIKA KUPITIA FACEBOOK


Wakati watu wengi hutumia mitandao ya kijamii kwa kupiga soga na jamaa na marafiki zao,wengine hujaribu bahati zao kimaisha kwa kutumia mitandao hiyo.

Nchini Rwanda, kijana mmoja Hassan Habiyambere anasema kwamba ujumbe mmoja tu katika Facebook ulimfungulia milango ya utajiri.



Sasa ni miongoni mwa wajasiriamali wenye uwezo wa kutoa ajira kwa watu wengine.

Alizungumza na Yves Bucyana.