Audio: HUU HAPA WIMBO WA MAOMBOLEZO KUTOKANA NA AJALI ILIYOTOKEA KARATU NA KUSABABISHA WANAFUNZI NA WALIMU KUPOTEZA MAISHA

Msanii Engine ameachia wimbo maalum kuwalilia wanafunzi zaidi ya 30 waliofariki katika ajali ya gari mkoani Arusha.Ni wimbo wa maombolezo kwa taifa la Tanzania.


Sikiliza wimbo huu hapa chini