AJALI NYINGINE YATOKEA LUSANGA MUHEZA TANGA, 4 WAFARIKI NA 15 NI MAJERUHI


Watu 4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado tunafatilia Habari kwa kina