WABUNGE WALUOSHINDA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI
April 5, 2017 Bunge limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio huku sita kati yao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.
1. Fancy Nkuhi
2. Happiness Legiko
3. Maryam Ussi Yahya
4. Dkt Abdullah Makame
5. Dkt Ngwaru Maghembe
6. Alhaj Adam Kimbisa
7.Habib Mnyaa (CUF)
LIVE: Wawania Ubunge Afrika Mashariki wakimwaga sera zao kwa Kiingereza
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi