NAFASI ZA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI KITUO CHA KIZUMBI - SHINYANGA

Image result for MOCU
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) anayo furaha kuwatangazia wahitimu wote  wa kidato cha nne nafasi za masomo  kwa Muhula mpya wa masomo Mwezi wa Mei 2017/2018  kwenye kituo cha kufundishia Kizumbi -  Shinyanga

Kozi zitolewazo ni :-
 Certificate in Enterprise Development (CED)
 Certificate in Management and Accounting (CMA)
 Certificate in Microfinance Management (CMF)
 Certificate in Human Resource Management (CHRM)

SIFA ZA MUOMBAJI NGAZI YA CERTIFICATE (ASTASHAHADA)
Muombaji awe amehitimu kidato cha Nne na kufaulu angalau masomo manne kwa kiwango cha “D” na kuendelea.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo;
 Mobile; 0756546963, 0712 775691, 0787087413, 0628264072
 au
tembelea tovuti ya chuo
 http://www.mocu.ac.tz/