TANZIA: MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyotolewa leo March 31 2017 na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai imeeleza kuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika hospitali ya New Cross, Walverhamton nchini Uingereza alikokuwa anapatiwa matibabu

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.