Kwanza,
jitahidi kulipa deni linalodai ulipe riba ya kiasi cha juu zaidi.
Tatu,
dhibiti jinsi unavyotumia pesa. Hilo ni jambo muhimu sana. Jifunze kuishi kulingana na mapato yako.
Deni la Lazima
Ni watu wachache wanaoweza kulipa pesa taslimu kwa ajili ya nyumba wanayonunua. Kwa hiyo, wengi huchukua mkopo kwenye benki ili kununua nyumba. Kiasi wanacholipa kila mwezi ili kurudisha pesa hizo huonwa ni kana kwamba wanalipa kodi ya nyumba. Lakini baada ya kulipa mkopo huo kwa muda mrefu, wanamiliki nyumba hiyo!
Pia watu wengi huona kuwa inafaa kuchukua mkopo ili kununua gari ambalo halitumii petroli nyingi. Wanapolipa mkopo huo upesi iwezekanavyo, gari hilo huwa na faida, na hiyo ni njia nyingine ya kuokoa pesa.
Wengine wameona ni jambo la hekima kununua gari la mtumba lililo katika hali nzuri na ambalo halijatumiwa sana. Wengine huokoa pesa kwa kutumia usafiri wa umma au hata kuendesha baiskeli.
Vyovyote vile, uwe na kiasi na uone mambo kihalisi kuhusiana na vitu unavyonunua na ufanye maamuzi ukiwa makini. Unaweza kukuza tabia ya kutumia pesa bila hekima na hilo litakuletea matatizo. Kwa hiyo, jitahidi kutumia pesa kwa uangalifu na kwa busara, na huenda ukafaulu kuwa na furaha ya kudumu.
Mbali na hilo, ili ufurahie kuhifadhi pesa, unapaswa kujua jinsi ya kuzitumia kwa hekima. Habari inayofuata itazungumzia jambo hilo.