RAISI MAGUFULI AFUTA AGIZO LA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, WATANZANIA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA PINDI WANAPOFUNGA NDOA

Rais John Pombe Magufuli amefuta agizo la waziri wa katiba na sheria Dkt Harrison Mwakyembe linalotoa sharti la kuwa na cheti cha kuzaliwa kwa watu wote watakaofunga ndoa