MAHAKAMA KUU YAZUIA LIPUMBA ASIPEWE RUZUKU YA CUF

Mahakama Kuuia, "Masijala ya Dar es Salaam" mbele ya Mhe Jaji Dyansobela katika shauri No. 28/2017 leo tarehe 31.03.2017 imetoa amri dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutotoa ruzuku ya Chama cha Wananchi CUF mpaka shauri la kupinga kitendo cha Msajili kutoa ruzuku kwa Lipumba litakapo malizika.Mhe jaji alikubaliana na hoja za wakili Msomi Nassoro anayeiwakilisha Bodi ya Wadhamini ya CUF ili kuzuia fedha za umma (Ruzuku) zisichezewe.

Imetolewa na;
Mbarala Maharagande,
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari,
The Civic United Front.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.