KIKWETE AFUNGUKA HAYA

Kupitia Twitter account ya Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM) leo March 21, 2017 ameandika sentesi mbili zenye maneno yake 24. Nimeyanukuu kwaajili yako hapa chini.