KAMA HUWEZI KUACHANA NAE USIJARIBU KUCHUNGULIA MAWASILIANO YAKE


Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mpenzi wangu niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap shughuli nzito nikajikuta naumwa ghafla pressure inanipanda mara nikaona dunia inazunguka mara nataka kuaga dunia ikabidi majirani zangu wafanye mawasiliano na mpenzi wangu maana walikuwa wanaufahamu ile unakuja home. baby jamani unaumwa nn? aiseeeh nikiuangalia homa inanizidia nikifikiria kuucha siwezi.............kilichoendelea.....................ila mpaka sasa nadunda nao course niliona bora tu nijikaze 

Vijana Tuache tabia ya kudukua mawasiliano ya tunaowapenda wakati jeuri za kuwaacha hatunazo, huo ni ushauri tu kama jasiri endelea kupanga mikakati ya kudukua mawasiliano ya mke au mchumba ako soon tu itabaki story