
Hamorapa ni msanii mpya wa Bongofleva ambaye amejichukulia umaarufu wa mitandao ya kijamii baada ya matukio yake ya hapa na pale ambapo jana March 23 2017 video yake ilisambaa kwenye mitandao akionekana kukimbia baada ya kuona Polisi katoa Bastola akimtisha Mbunge Nape Nnauye.
Tazama alichoongea Harmorapa kwenye hii video hapa chini