Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite (S0546/0016) na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge. Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari Pamba.
Alama ni kawa ifuatavyo... Civics - F History - F English - F Geography - F Biology - F Kiswahili - F Mathematics - F Physics - F Chemistry - F Bible Knowledge - F