TAARIFA KAMILI YA WEMA SEPETU KUHAMIA CHADEMA
Huu hapa chini ujumbe uliochapishwa na msemaji wa Chadema,Tumaini Makene Facebook
Hongera #Wema_Sepetu, Karibu sana CHADEMA.
Chama kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo.
Kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo #Wema_Sepetu.
Taarifa rasmi tutawaletea
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi