RIDHIWANI KIKWETE ASEMA AMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA LOWASA BAADA YA KUKUTANA NA ATAJIFUNZA


Baada ya Jana Ridhiwani Kikwete Kukutana na Edward Lowassa Uwanja wa Taifa na Kupiga nae Stori kidogo amefunguka haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:

"Siasa ni Shule ambayo haina kikomo. Tusichoke kujifunza. Mimi nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#siasasivita" Ridhiwani