MWANAUME ALIYEFANYA MAPENZI NA MAITI KENYA AUAWA



Mwanaume mwenye umri wa miaka 45 kutoka Kenya amepigwa na Wananchi baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na maiti ya Mtoto wake aliyekuwa na umri wa miaka 15 ambapo ripoti ya K24 TV imeripoti tukio hilo kutokea kwenye kijiji cha Kiwanja Ndege kaunti ndogo ya Kuresoi Kaskazini.