MAHAKAMA YATOA MAELEKEZO KESI INAYOMKABILI GODBLESS LEMA
Mahakama ya Rufani ya Tanzania Chini ya Majaji (Luanda, Kipenka, Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetoa maelekezo ya kesi inayomkabili mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema irudi kwenye mahakama zenye dhamana ya kutoa dhamana.
Hakimu amesema hakuna hoja ya msingi kwa rufaa iliyokatwa na mawakili serikali.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi