
Rais Magufuli jana ameondoka nchini kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwenye mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika.

Rais Dkt. Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana.