Kushughulikia mapepo yanayoharibu ndoto yangu

 shalomu wengi tuna ndoto za aina mbalimbali na kisha hatujui ndoto hizi nini kimepoteza
   katika ulimwengu wa roho zipo roho maalumu ambazo shetani huzitumia kushughulikia vitu muhimu
       Haya ni mapepo hatari sana utamsikia mtu nilikuwa na ndoto ya kuwa mwalimu au Daktari au ndoto ya kuja kuwa na kitu fulani ghafla hiyo ndoto hupotea na ukabakiwa na simulizi tuu kwa watu

     Habakuki 2:3   Angalia hapa hili neno 
mstr 2 Maana njonzi hii bado ni kwa wakati ulio amuriwa inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake wala haitasema uongo ijapokawia ingojee kwa kuwa haina budi kuja haitakawia

Angalia mistari hiyo kwa makini ndoto yoyote ina wakati wake na huja ikatimia 

SWALI KWAKO
Umesha wahi kusema mara ngapi nina ndoto halafu haija timia hadi leo ?
      unafikiri ilienda wapi na je bado una hamu tena na hiyo ndoto yako

MAOMBI YANGU
MUNGU kwa mamlaka yako kupitia mwanao YESU kristo ninayafunga na kuyaseta na kukemeamapepo yote yanayo haribu ndoto  zangu
   naamuru kwa jina la YESU ndoto zangu zote kunirudia Mwaka huu 2017 kwa jina la YESU kristo Amen

Mwl Joel Mkemwa

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.