Hii ndio rangi ya mwaka 2017
GREENERY IS NATURE’S NEUTRAL.
Tangu mwaka 2000 kampuni ya PANTONE wamekuwa wakichagua rangi za mwaka na huwa wanachagua rangi zinazo reflect the current cultural climate na kwa miaka kadhaa wamesaidia ku influence trends in all Facets of designs kuanzia kwenye interior decor,fashion,architecture ,chakula ,travels etc.
What is the PANTONE Color of the Year?
A symbolic color selection; a color snapshot of what we see taking place in our global culture that serves as an expression of a mood and an attitude.
So muelewe kuwa hizi rangi huchaguliwa kulingana na yale yanayotokea kwenye ulimwengu wetu .
Kwa mwaka huu wa 2016 rangi ilochaguliwa ni GREENERY simply ni shades of green iwe kijani ilokolea au jani la mgomba ,iliiyopauka you name it .
GREENERY ina signifies “new beginnings;” “the first day of spring;” “revive, restore, and renew.”
But most prominently, the yellow-green hue (specifically, Pantone 15-0343) comments on the concept of “environment.”
Mwaujua ule msemo wa the world ku go green???well nafikiri sasa hivi watu itabidi tuuelewe tu huu msemo maana all year itakuwa ni Green,so tu experience nature tafadhali ,na sio tu kwenye environment but kwenye fashion,designs,architecture, makeup,interior decor .
Na hapa Tanzania tuna ile kampeni ya kila mtu kupanda mti wake hii yote ni kuweka mazingira safi kwetu na vizazi vinavyokuja,thank God imekuja na kwenye Fashion itaingia akilini mwetu vizuri zaidi.
kwa mwaka huu rangi hii ya Green tuliiona sana From the spring 2017 runways specifically, designers kama Balenciaga, Pucci, Sies Marjan, Michael Kors, Kenzo and Zac Posen created clothes in what Pantone calls “nature’s neutral.”
GREENERY COLOR FROM DESIGNER’S COLLECTION
From left: Pucci, Balenciaga, Sies Marjan
JINSI YA KU ADD HOME DECOR NA HII COLOR OF THE YEAR
Flowers
Sofa
pillowcases
lamps
FASHION/OUTFITS
Lupita Nyong’o
sequined skirt
Sydney
African prints
ACCESSORIES
Earrings
Handbags
sneakers
Fascinator
NAIL POLISH BY LAVY
MAKEUP LOOKS
Sija wa ambia mkapake make up hivi ,unless it’s halloween au unaigiza unatakiwa make up ya hivi
lirembe jicho na green
WALE WA MISHONO TUKUTANE SOON KWENYE MISHONO MIKALI YA RANGI HII YA MWAKA 2017,KAMA NAWAONA KWENYE KITCHEN PARTIES,SEND OFF HATA HARUSINI KWENYE DECOR ETC
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi