
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.
0 Comments