Homehabari DR SLAA AVULIWA UBALOZI byVideo -Friday, September 01, 2023 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia tarehe 01, Septemba 2023. Dkt. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi tarehe 23 Novemba 2017 Tags: habari Facebook Twitter