MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AKABIDHI COMPUTER, PRINTER OLD SHINYANGA SEKONDARI

 


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba amekabidhi Kompyuta tano na Printer 1 katika Shule ya Sekondari Old Shinyanga ili kuongeza ufanisi katika ufundishaji wa masomo ya TEHAMA.



Post a Comment

Previous Post Next Post