Homehabari MFARIJI MKUU byVideo -Wednesday, November 23, 2022 0 Rais Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara iliyopo Babati katika ziara yake ya siku mbili mkoani humo tarehe 23 Novemba, 2022. Picha IKULU Tags: habari Facebook Twitter