
Mayele ambae aliibuka mfungaji bora kikosini hapo atasalia katika klabu hiyo mpaka mwaka 2024, baada ya mkataba wake wa awali uliokuwa unaisha mwaka 2023.
Tangu alipojiunga na Yanga Mayele amefanikiwa kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2021/22, Kombe la Azam na Ngao ya Jamii (2).
Mpaka sasa mayele amefanikiwa kuifungia Yanga magoli mawli katika michezo miwili aliyocheza msimu huu 2022/23.
Tags:
michezo