Ushawahi kujiuliza ni vip Mtu anaweza kuishi bila sura!?
Kutana na Bibi anayeishi katika kijiji fulani ambaye hana Sura, Pua wala Macho, Anavuta nakutoa Pumzi kupitia Mdomo Pekee, Anasema alienda kuzimu na Akarudi. Kutana na Bibi anayeitwa Amina anaye ushangaza Ulimwengu, Leo tunashuhudia akipokea pesa lakini historia yake haijaanzia hapa.
HISTORIA YAKE;-
Anaitwa Amina inakupasa kuwa Makini kumsikiliza pindi unapozungumza naye na hii ni kutokana na ulemavu alio nao, Alizaliwa Mwaka 1945 Inamaanisha kuwa ana umri wa miaka 77 amezaliwa katika Familia ya Kikatoliki na Baadae Akabadilisha Dini na kuwa Muislamu. Kipindi alipokuwa Mtoto Wazazi wake wali-jaribu kila liwezeka nalo lakini hawakuweza kubadilisha chochote Maana alikuwa na baadhi ya viuvimbe vilivyokuwa kila siku na kupelekea kuziba sura yake. Japo Madaktari walijaribu kuvikata lakini alibaki na muonekano huo. Muda mwingi anapotembea Mtaani watu humcheka na wengine kumuogopa na kushanga ni vipi Mtu anaishi bila ya sura!? Hivyo huisi sio binaadamu wa kawaida na humkimbia, Lakini yeye ni mtu kama wao. “Nakumbuka ilikuwa ngumu sana wakati na batizwa na Mchungaji aliniona na kubaki kuduwaa huku akisema ni nini hiki lakini alinibatiza ila aliogopa sana”. Amekuwa ni Bibi mwenye kupitia Maisha magumu Toka aje katika Dunia hii hadi Leo, Kula na kunywa hata kuvuta pumzi ni Changamoto kwake Maana vyote hivi anatumia katika kiungo kimoja ambacho ni Mdomo kwasababu hajazaliwa na viungo vingine vinavyopaswa kunusa na kuvuta Pumzi. ……………..ITAENDELEA……………….