Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba akiwakilisha Bungeni Dodoma kwenye hotuba yake akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2021 na mpango wa maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 alisema hadi April 2022 deni la Taifa lilikua ni Trilioni 69.44.
“Hadi Aprili 2022 deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021 sawa na ongezeko la asilimia 14.4 ambapo kati ya kiasi hicho deni la nje lilikuwa shilingi trilioni 47.07 na deni la ndani lilikuwa shilingi trilioni 22.37”
Je ni nchi zipi zinaidai Tanzania? Nchi ya kwanza kuidai Tanzania ni Iran ikifuatia na Iraq!Angalia jedwali hapa chini;
Chanzo: Ukurasa wa The Chanzo
Tags:
habari