RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania mstaafu Venance Salvatory Mabeyo kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huu ni kuanzia leo tarehe 30 Juni, 2022
Zuhura Yunusi
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu.
Chanzo - Ikulu mawasiliano
Tags:
habari