BENCHI LA UFUNDI LA YANGA
Kwa upande wa Yanga benchi lao litaongozwa na Kocha Mkuu: Nassredine Nabi (Tunisia), kocha wa makipa ni Razack Siwa (Kenya) na kocha wa utimamu wa mwili Helmi Gueldich (Tunisia) na daktari ni Shecky Mngazija (Tanzania).Pia Yanga wamemtambulisha Cedric Kaze kuwa Kocha Msaidizi ilikuwa ni jana, kuanza kwake kazi leo kunatarajia upatikanaji wa kibali cha kazi hivyo lolote linaweza kutokea.
Tags:
michezo