HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA SIMBA


HIKI hapa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza leo Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii.
Hii ni kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumamosi:-

1.Diarra Djigui
2.Dickson Job
3.Kibwana Shomari
4.Djuma Shaban
5.Khalid Aucho
6.Bakari Mwamnyeto
7.Yacouba Songne
8.Zawad Mauya
9.Moloko
10.Fei Toto
11.Heritier Makambo

Post a Comment

Previous Post Next Post