Breaking News: SIMBA YATUA NAIROBI KWA NAMNA HII


Baadhi ya wachezaji wakiwa uwanja wa ndege Nairobi

Kikosi cha Simba, tayari kimewasili salama jijini Nairobi kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup.

Baada ya kutua Nairobi nchini Kenya, Simba imeanza safari ya kwenda Nakuru ambako michuano hiyo itafanyika.

Nakuru ni umbali wa saa mbili kutoka jijini Nairobi ambako Simba itaweka kambi yake.

Michuano hiyo itaanza JUmapili hadi Juni 10 mjini Nakuru. 


Post a Comment

Previous Post Next Post