Video: CYPRIAN MUSIBA AFUNGUKA TENA MAZITO, ASEMA MBOWE NA LEMA NDIO WANAOHUSIKA NA UHALIFU NA MAUAJI YANAYOENDELEA NCHINI
byMASENGWA-
0
Mkurugenzi wa kampuni ya CZI, Cyprian Musiba amekutana na waandishi wa Habari Dodoma ambapo ameongelea kuhusu baadhi ya watu wanaolichafua taifa na Serikali kuwaacha bila kuwachukulia hatua.